Ufafanuzi wa terebesha katika Kiswahili

terebesha

nomino

  • 1

    ukingo wa kitu k.v. dau, jahazi au meza.

    mleoleo, pambizo, ubigoubigo

Matamshi

terebesha

/tɛrɛbɛ∫a/