Ufafanuzi wa terema katika Kiswahili

terema

kitenzi sielekezi

  • 1

    kuwa na furaha.

    ramisi, changamka

Matamshi

terema

/tɛrɛma/