Ufafanuzi wa teremsha katika Kiswahili

teremsha

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~ika, ~wa

  • 1

    peleka chini kutoka juu ya kitu k.v. mlima, mti, gari au ngazi.

  • 2

    shusha

Matamshi

teremsha

/tɛrɛm∫a/