Ufafanuzi wa teseka katika Kiswahili

teseka

kitenzi sielekezi~ea

  • 1

    pata taabu au machungu kwa muda mrefu.

    fusika, dhii

Matamshi

teseka

/tɛsɛka/