Ufafanuzi msingi wa tete katika Kiswahili

: tete1tete2tete3

tete1

nomino

 • 1

  nyasi kubwa zinazoota nchi tambarare yenye maji na hutumiwa kujengea ua.

  ‘Mabua ya matete’

Matamshi

tete

/tɛtɛ/

Ufafanuzi msingi wa tete katika Kiswahili

: tete1tete2tete3

tete2

nomino

  Matamshi

  tete

  /tɛtɛ/

  Ufafanuzi msingi wa tete katika Kiswahili

  : tete1tete2tete3

  tete3

  nomino

  • 1

   takataka zinazotoka wakati wa kufua chuma; mavi ya chuma.

  Matamshi

  tete

  /tɛtɛ/