Ufafanuzi msingi wa tetea katika Kiswahili

: tetea1tetea2

tetea1

kitenzi sielekezi~ka, ~lea, ~sha, ~ana, ~wa

 • 1

  lialia kama kuku anapotaka kutaga.

 • 2

  toa sauti inayoendelea kwa madaha katika uimbaji au kusoma.

Matamshi

tetea

/tɛtɛja/

Ufafanuzi msingi wa tetea katika Kiswahili

: tetea1tetea2

tetea2

kitenzi elekezi~ka, ~lea, ~sha, ~ana, ~wa

 • 1

  simamia mtu ili kumkinga na mambo, agh. mabaya, yaliyomfika.

 • 2

  kinga, pigania, hami

Matamshi

tetea

/tɛtɛja/