Ufafanuzi wa tetemeka katika Kiswahili

tetemeka

kitenzi sielekezi~ea, ~esha

  • 1

    tikisika kwa harakaharaka k.v. kuti la mnazi au mtende linavyofanya katika upepo au mtu anapoona baridi au hofu.

Matamshi

tetemeka

/tɛtɛmɛka/