Ufafanuzi wa tetesi katika Kiswahili

tetesi

nominoPlural tetesi

  • 1

    habari isemwayo ambayo bado haijathibitishwa.

    mnong’ono, fununu, dokezo

Matamshi

tetesi

/tɛtɛsi/