Ufafanuzi wa teua katika Kiswahili

teua

kitenzi elekezi

  • 1

    chukua kinachofaa kati ya vitu zaidi ya kimoja.

    chagua, chuza

Matamshi

teua

/tɛwuwa/