Ufafanuzi wa teuka katika Kiswahili

teuka

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    toa pumzi kwa nguvu kutoka tumboni kupitia mdomoni, agh. huwa ni ishara ya kushiba.

  • 2

    piga mbweu.

    mbweu

Matamshi

teuka

/tɛwuka/