Ufafanuzi msingi wa tezi katika Kiswahili

: tezi1tezi2tezi3

tezi1

nominoPlural matezi

 • 1

  sehemu ya nyuma ya chombo cha baharini.

  shetri

Asili

Kaj

Matamshi

tezi

/tɛzi/

Ufafanuzi msingi wa tezi katika Kiswahili

: tezi1tezi2tezi3

tezi2

nominoPlural matezi

 • 1

  ugonjwa unaotokeza kwa kuvimba sehemu ya mwili na kuwa ngumu.

  ‘Tezi ya shingo’
  ‘Tezi ya mgongo’
  rovu

Matamshi

tezi

/tɛzi/

Ufafanuzi msingi wa tezi katika Kiswahili

: tezi1tezi2tezi3

tezi3

nominoPlural matezi

 • 1

  sehemu ya mwili inayotengeneza na kuhifadhi kemikali ambayo huchukuliwa na damu na huleta mabadiliko mwilini k.v. kiakili au kisaikolojia.

Asili

Kaj

Matamshi

tezi

/tɛzi/