Ufafanuzi wa tezo katika Kiswahili

tezo

nominoPlural tezo

  • 1

    chombo cha seremala kinachofanana na jembe dogo jembamba, kinachotumiwa kuchongea mbao.

Matamshi

tezo

/tɛzɔ/