Ufafanuzi wa thabiti katika Kiswahili

thabiti

kivumishi

 • 1

  -enye nguvu; -siyotetereka.

  ‘Ana imani thabiti’
  ‘Ana moyo thabiti’
  imara, madhubuti, halisi

 • 2

  -a kweli; -siyokuwa na shaka.

  ‘Kauli yake thabiti’
  mithaki

Asili

Kar

Matamshi

thabiti

/θabiti/