Ufafanuzi msingi wa thakili katika Kiswahili

: thakili1thakili2

thakili1

kivumishi

 • 1

  -enye kuleta taabu, mashaka au dhiki.

 • 2

  -enye shida.

Matamshi

thakili

/θakili/

Ufafanuzi msingi wa thakili katika Kiswahili

: thakili1thakili2

thakili2

nominoPlural thakili

 • 1

  hali ya kuleta taabu, mashaka au dhiki.

  ‘Naona thakili’
  shida

Asili

Kar

Matamshi

thakili

/θakili/