Ufafanuzi wa thamanini katika Kiswahili

thamanini

nomino

  • 1

    aina ya kitambaa cheupe na chepesi.

Asili

Kar

Matamshi

thamanini

/θamanini/