Ufafanuzi wa thelathini katika Kiswahili

thelathini

nomino

  • 1

    makumi matatu.

  • 2

    ‘30’.

Asili

Kar

Matamshi

thelathini

/θɛlaθini/