Ufafanuzi wa theluthi katika Kiswahili

theluthi

nomino

  • 1

    sehemu moja ya kitu kizima kilichogawanywa sehemu tatu zilizo sawa.

Asili

Kar

Matamshi

theluthi

/θɛluθi/