Ufafanuzi wa themometa katika Kiswahili

themometa

nomino

  • 1

    kifaa chenye zebaki kinachotumiwa kupimia joto; kipimajoto.

Asili

Kng

Matamshi

themometa

/θɛmɔmɛta/