Ufafanuzi wa thibitisho katika Kiswahili

thibitisho

nominoPlural mathibitisho

  • 1

    hali ya kuhakikisha jambo.

    hakikisho

Asili

Kar

Matamshi

thibitisho

/θibiti∫ɔ/