Ufafanuzi wa thubutu katika Kiswahili

thubutu

kitenzi sielekezi

  • 1

    kuwa na ujasiri wa kufanya jambo.

    ‘Shauri lako ni zuri lakini nani atathubutu kumweleza mwenyewe’
    aminisha, jasiri

Asili

Kar

Matamshi

thubutu

/θubutu/