Ufafanuzi wa thumni katika Kiswahili

thumni

nominoPlural thumni

  • 1

    sehemu moja ya kitu kizima kilichogawanywa katika sehemu nane zilizo sawa.

  • 2

    moja ya nane ya riale.

  • 3

    nusu shilingi; senti hamsini.

Asili

Kar

Matamshi

thumni

/θumni/