Ufafanuzi wa ti katika Kiswahili

ti

kielezi

  • 1

    neno linalosisitiza weusi uliokoza.

    ‘Nyeusi ti’
    pi

Matamshi

ti

/ti/