Ufafanuzi msingi wa tia katika Kiswahili

: tia1tia2

tia1

kitenzi elekezi

 • 1

  fanya kitu kiwemo ndani ya kingine.

  ingiza

 • 2

  fanya kitu kiwe na kitu au hali fulani.

Ufafanuzi msingi wa tia katika Kiswahili

: tia1tia2

tia2

nomino

 • 1

  ngoma, agh. inayochezwa kwa kutumia manyanga na ambayo watu huimbana hadharani kwa mashairi.

Matamshi

tia

/tija/