Ufafanuzi msingi wa tiara katika Kiswahili

: tiara1tiara2

tiara1

nominoPlural tiara

  • 1

    karatasi inayopambwa na kufananishwa na ndege na ambayo hurushwa na kupeperushwa na upepo kwa kushikiliwa na uzi.

    kishada

Asili

Kar

Matamshi

tiara

/tijara/

Ufafanuzi msingi wa tiara katika Kiswahili

: tiara1tiara2

tiara2

nominoPlural tiara

Asili

Kar

Matamshi

tiara

/tijara/