Ufafanuzi wa tiba katika Kiswahili

tiba

nominoPlural tiba

  • 1

    kitu kinachotumiwa kuponya maradhi.

    dawa

Asili

Kar

Matamshi

tiba

/tiba/