Ufafanuzi wa tibua katika Kiswahili

tibua

kitenzi elekezi

  • 1

    vuruga kitu kilichotulia k.v. maji katika kisima na kuyafanya yawe na topetope; tia vunju.

    vuruga, buruga