Ufafanuzi wa tibwirika katika Kiswahili

tibwirika

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    tikisika mwili k.v. mtu anavyocheza ngoma.

  • 2

    legea mwili kwa kuchoka.

  • 3

    fanya jambo kwa pilikapilika za furaha.

Matamshi

tibwirika

/tibwirika/