Ufafanuzi wa tifua katika Kiswahili

tifua

kitenzi elekezi~ka, ~lia, ~liana, ~liwa, ~lisha

  • 1

    fanya ardhi iwe laini kwa kuchimbachimba.

  • 2

    toa vumbi kwa kupigapiga ardhi au mchanga.

Matamshi

tifua

/tifuwa/