Ufafanuzi wa tika katika Kiswahili

tika

kitenzi sielekezi

  • 1

    enda huku na huku kwa sababu ya kutojaa k.v. maji ambayo hayakujaa katika chombo.

    ‘Tikaia, tikaika, tikaisha’
    dugika

Matamshi

tika

/tika/