Ufafanuzi wa tiketi katika Kiswahili

tiketi, tikiti

nominoPlural tiketi

  • 1

    kipande cha karatasi anachopewa mtu baada ya kulipa fedha ili kumruhusu mtu huyo kusafiri kwa chombo fulani k.v. gari, meli au ndege, kuingia mahali penye shughuli fulani k.v. mpira au sinema au kushiriki katika mchezo wa bahati nasibu.

  • 2

Asili

Kng

Matamshi

tiketi

/tikɛti/