Ufafanuzi msingi wa tiki katika Kiswahili

: tiki1tiki2

tiki1

kielezi

 • 1

  neno linalosisitiza kuchoka au kulegea; kwelikweli.

  ‘Nimechoka tiki’

Matamshi

tiki

/tiki/

Ufafanuzi msingi wa tiki katika Kiswahili

: tiki1tiki2

tiki2

nominoPlural tiki

 • 1

  alama ya vyema.

 • 2

  ‘(√)’.

Matamshi

tiki

/tiki/