Ufafanuzi wa tikinyika katika Kiswahili

tikinyika

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    cheka kwa kujishaua na kujitikisatikisa ili kuleta tamaa mbaya.

Matamshi

tikinyika

/tikiɲika/