Ufafanuzi wa tikisika katika Kiswahili

tikisika

kitenzi sielekezi

  • 1

    nepa huku na huko kwa kitu bila kuondoka mahali kilipo.

    chuchia, cheza

Matamshi

tikisika

/tikisika/