Ufafanuzi wa timamu katika Kiswahili

timamu

kivumishi

  • 1

    -enye kukamilika; -enye kutimia.

    kamilifu, fusuli

Asili

Kar

Matamshi

timamu

/timamu/