Ufafanuzi wa timka katika Kiswahili

timka

kitenzi sielekezi

  • 1

    kimbia

  • 2

    fumuka kwa nywele zilizokuwa zimesukwa au kulazwa vizuri.

Matamshi

timka

/timka/