Ufafanuzi wa timu katika Kiswahili

timu

nominoPlural timu

  • 1

    kundi la watu wanaohusika na mchezo au kazi fulani maalumu.

    ‘Timu ya mpira’
    ‘Timu ya wataalamu’

Matamshi

timu

/timu/