Ufafanuzi wa tindo katika Kiswahili

tindo

nominoPlural tindo

  • 1

    chombo kama patasi lakini kinene kinachotengezwa kwa chuma kitupu ambacho hutumiwa kukatia vyombo vya chuma k.v. misumari au seng’enge pamoja na kutobolea kuta.

Matamshi

tindo

/tindɔ/