Ufafanuzi wa tinge katika Kiswahili

tinge

nomino

  • 1

    mchezo wa kushindana kwa ufundi wa kupiga miguu huku washiriki wakipiga makofi.

Matamshi

tinge

/tingÉ›/