Ufafanuzi wa tiriri katika Kiswahili

tiriri

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

  • 1

    fanyia mtu jambo baya mara kwa mara ili kumchukiza au kumkasirisha.

Matamshi

tiriri

/tiriri/