Ufafanuzi wa tishio katika Kiswahili

tishio

nominoPlural matishio

  • 1

    jambo au hali inayomfanya mtu awe na wasiwasi wa usalama wa maisha yake au shughuli zake.

    hofu

Matamshi

tishio

/ti∫ijɔ/