Ufafanuzi wa titiga katika Kiswahili

titiga

kitenzi elekezi

  • 1

    piga k.v. kwa mkono au kwa fimbo ili kuumiza au kuathiri kitu.

Matamshi

titiga

/titiga/