Ufafanuzi wa tiva katika Kiswahili

tiva

nominoPlural tiva

  • 1

    ndege mdogo mwenye kishungi, rangi nyeusi juu na nyeupe tumboni na kifuani.

    kubo, kipwe, mwanguo, aninia

Matamshi

tiva

/tiva/