Ufafanuzi wa Toa mhanga katika Kiswahili

Toa mhanga

msemo

  • 1

    / Kujitoa mhanga kufanya kitendo kinachoweza kuhatarisha maisha yako kwa ajili ya kupigania masilahi yako, ya mtu mwingine au ya nchi yako.