Ufafanuzi wa toazi katika Kiswahili

toazi, tuazi, tuasi

nominoPlural matoazi

  • 1

    upatu wa shaba unaotumika katika muziki na ngoma; ala ya muziki yenye umbo kama sahani bapa inayotumika kuchombezea muziki.

    tasa

  • 2

Matamshi

toazi

/tɔwazi/