Ufafanuzi msingi wa toba katika Kiswahili

: toba1toba2

toba1

nominoPlural toba

Kidini
  • 1

    Kidini
    majuto kwa matendo yaliyotendwa ambayo ni kinyume na dini.

Matamshi

toba

/tɔba/

Ufafanuzi msingi wa toba katika Kiswahili

: toba1toba2

toba2

kiingizi

  • 1

    neno linaloonyesha mshtuko kwa jambo lililotokea.

    ‘Toba , ameangusha sinia la wali!’

Asili

Kar

Matamshi

toba

/tɔba/