Ufafanuzi wa toboa katika Kiswahili

toboa

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~lea, ~lewa

  • 1

    fanya kuwa na tundu.

    dopoa, dudumia, dunga

Matamshi

toboa

/tɔbɔwa/