Ufafanuzi wa tofali katika Kiswahili

tofali

nominoPlural matofali

  • 1

    bonge la udongo au la mchanganyiko wa mchanga na sementi lenye umbo la mstatili linalotumika katika ujenzi.

Asili

Kar

Matamshi

tofali

/tɔfali/