Ufafanuzi msingi wa tohoa katika Kiswahili

: tohoa1tohoa2

tohoa1

kitenzi elekezi~ka, ~lea, ~leka, ~lesha, ~lewa

  • 1

    punguza nguvu ya kitu kwa kukichanganya na kitu kingine.

    ‘Nimeitohoa kahawa yangu kwa kuitia maziwa’

Matamshi

tohoa

/tɔhɔwa/

Ufafanuzi msingi wa tohoa katika Kiswahili

: tohoa1tohoa2

tohoa2

kitenzi elekezi~ka, ~lea, ~leka, ~lesha, ~lewa

  • 1

    badilisha matamshi au tahajia ya neno la lugha ya kigeni ili lilingane na matamshi au tahajia ya lugha ya kienyeji k.m. ‘shirt’ (Kiingereza) kuwa ‘shati’ (Kiswahili).

Matamshi

tohoa

/tɔhɔwa/