Ufafanuzi wa tokana katika Kiswahili

tokana

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    sababishwa na.

  • 2

    achana na.

Matamshi

tokana

/tɔkana/