Ufafanuzi wa tokezea katika Kiswahili

tokezea

kitenzi sielekezi

  • 1

    anza kutoka na kuonekana sehemu.

  • 2

    tokea bila kutarajiwa.

    ‘Jambo hili lilitokezea tu’

Matamshi

tokezea

/tɔkɛzɛja/